Habari WANAHISA 400 WA MCB WAKUTANA MTWARA KWENYE MKUTANO Global Publishers Aug 22, 2019 WANAHISA zaidi ya 400 wa Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB) wamekutana mjini Mtwara katika mkutano wa mwaka (AGM) na kupokea taarifa ya kiutendaji ya benki hiyo kwa mwaka 2018. …