Watu 50 Wahofiwa Kufa kwa Kufukiwa na Kifusi Machimboni
Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kupoteza maisha, baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa kwenye machimbo ya dhahabu katika eneo la Kamituga, Kivu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Gavana wa jimbo la Kivu Kusini, Theo Ngwabije…
