Mchizi Mox Apambana na Hali Yake
MKALI wa kitambo kunako Bongo Hip Hop, Taikuni Ally ‘Mchizi Mox’ amesema, yupo fiti na anapambana na hali yake ili kurudi kwenye gemu na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Fala.
Mox ambaye amewahi kutisha na ngoma…
