Askofu Niwemugizi Aamua Kukubali Kuitwa Mchochezi
ASKOFU wa Kanisa Katoliki Ngara, Severin Niwemugizi amesema yuko tayari kuitwa mchochezi endapo kundi la watetezi wa haki za binadamu watachukuliwa kama wachochezi.
Askofu Niwemugiza amesema yeye kama kiongozi wa dini anaongozwa na…
