Video: Adam Mchomvu Amlima Mtama Mbasha “Ananiita Bangi?”
MTANGAZAJI wa Clouds Media, Adam Mchomvu 'Baba Jonii' ameshindwa kujizuia na kujikuta akimshusha stejini kwa bonge la mtama, mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha katika Tamasha la Uhuru Kuna Jambo ambapo Chama Cha Mapinduzi…
