Hana Miguu Wala Mikono, Anachora Picha za Ajabu! – Video
Huko nchini Ivory Coast, Adama Traole kuna kijana Mlemavu wa Mikono na Miguu, ameteka akili za watu ambapo licha ya ulemavu wake amekuwa akichora picha za ajabu ambazo zimekuwa zikiwavutia wengi.
