Chikota Ataka Utekelezaji Mchuchuma na Liganga Uanze
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota, ameiomba serikali kuanza kutekeleza mradi wa makaa ya mawe wa Mchuchuma na Liganga ili Bandari ya Mtwara ifanye kazi kwa ufanisi.
Akichangia leo bungeni bajeti ya Ofisi…
