Mdee, Bulaya, Meya Jacob Wafikishwa Mahakamani – Video
WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema): Halima Mdee (Kawe), Ester Bulaya (Bunda Mjini) na Jesca Kishoa (Viti Maalumu) pamoja na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu…
