“Mdude Chadema” Kortini kwa Tuhuma za Kukutwa na Dawa za Kulevya
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mpaluka Nyagali Mdude (32) ambaye ni Kada wa CHADEMA Maarufu kwa jina la Mdude Chadema Mkazi wa Itezi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kupatikana na Unga unaodhaniwa ni dawa za kulevya…
