Aliyesema ‘Kuwakutanisha na Mungu’ Waliomjeruhi Lissu, Aachiwa Huru
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, leo Alhamisi, Mei 24, 2018 imetupilia mbali kesi ya tuhuma za uchochezi iliyokuwa ikimkabili Mdude Nyagali baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kukamilisha upelelezi.
Akisoma hukumu…
