MDUDE Alivyomwaga ‘MACHOZI’ Hadharani “NINA KOSA GANI” – VIDEO
MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali amesema licha ya kupotea hivi karibuni kwa kile alichokidai kuwa ni kutokana na misimamo yake, alifikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Mdude ametoa kauli hiyo jijini…
