ALIYEJIAJIRI SERIKALINI, HAENDI KAZINI, ANAJILIPA MSHAHARA, AGUNDULIKA
Mwanafunzi mmoja anayesomea masuala ya TEHAMA nchini Afrika Kusini, Bright Chabota anasakwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kudukua data za serikali katika Sekta ya Afya na kisha kujiajiri mwenyewe. Duru za habari nchini humo…
