Breaking News: Mkuu wa Mkoa Meck Sadiki na Majaji Wawili Waachia Ngazi
KUJIUZULU: Rais Magufuli ameridhia kujiuzulu kwa viongozi wafuatao; RC Kilimanjaro, Said Meck Sadiki, majaji wa Mahakama Kuu, Aloysius Mujulizi na Upendo Msuya.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadick.…
