The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Meddie Kagere

Hatma ya Kagere Simba Ipo Hivi

BAADA ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere yupo mbioni kutimka klabuni hapo, wakala wa mchezaji huyo, Patrick Gakumba, ameibuka na kufungukia hatma ya mteja wake huyo. Kagere aliyejiunga Simba msimu…

Yanga Yamuandalia Mkataba Kagere

TAARIFA zilizopo ni kwamba, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, amewasilisha barua kwa uongozi wa klabu hiyo ya kuomba kusitisha mkataba wake ili kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine, huku ikielezwa kwamba muda wowote huenda…

Timu Tano Zamfuata Kagere Simba

WAKALAwa mchezaji Meddie Kagere wa Simba, Patrick Gakumba, amesema kuwa amepokea ofa tano za mteja wake huyo na kama hataendelea kupata nafasi ya kucheza ndani ya timu hiyo, basi itabidi ahame mara baada ya kumaliza mkataba wake.…

Guu la Kagere Lakwama Dakika 180

MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba, guu lake limeshindwa kufurukuta Uwanja wa Uhuru kwa dakika 180 kwa kushindwa kuzifumania nyavu kama alivyoanza msimu huu. Michezo miwili ya mwisho ambayo mshambuliaji huyo ameichezea Simba katika…

Molinga Amzidi Kagere Kwa Posho

YANGA mambo ni moto! Ni baada ya viongozi wa timu hiyo kuanza mchakato mpya wa kuwalipa wachezaji wake posho kwa wiki ambayo ni Shilingi 100, 000. Hiyo ni ela ya mboga tu ya kujikimu haihusiani na ushindi wala mechi. Awali,…

Kagere ataka mabao 30 Simba

BAADA ya kufunga mabao 20 mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa mabao hayo hayatoshi kwani anataka kufunga mabao zaidi ya 30. Idadi hiyo ya mabao 30 na kuendelea inafananishwa na…

Kagere Aapa Kufa na AS Vita Leo

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere ameahidi kufa na kupona kuitungua AS Vita kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hiyo itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa itakuwa muhimu kwa Simba kupata ushindi ili kujihakikishia…

Kagere wa Bil 1 Atikisa Afrika

KUNA uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere akaibuka mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ambao Simba imegoma kumuuza kwa Sh.Bilioni moja kwa Zamalek ya Misri. Kagere amekuwa mshambuliaji mahiri…

Simba Yawafuata Mbabane Kitemi

MSAFARA wa watu zaidi ya 30 wakiwemo wachezaji 21, kesho Alfajiri unatarajiwa kuondoka kwenda Eswatini, huku John Bocco na Meddie Kagere wakitamba lazima washinde. Mbabane Swallows itakuwa mwenyeji wa Simba kwenye mchezo wa…