The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

MEDEYA

Ole Madeye Naye Autaka Uspika

Akiyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye amechukua fomu kuwania kiti cha Uspika. Ole-Medeye aliyekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Kilimo kati ya mwaka 2010 hadi 2015 amechukua fomu hiyo leo Jumanne Januari 11, 2022…