Media Day: Wanahabari Walaani Vitendo vya Kunyanyaswa na Viongozi na Wanasiasa
Bi Salome Kitomari akizungumza wakati wa kongamano hilo.
Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Bi Salome Kitomari amelaani vitendo vya baadhi ya watalawa na wanasiasa kutumia mamlaka yao vibaya kwa kuwanyanyasa na kuwatesa waandishi wa habari…
