Meek Mill Afungukia Bifu Lake na Drake, Wale, The Game, Beanie Sigel, Quentin Miller na Safaree.
Philadelphia: Baada ya interview kufanyika wiki iliyopita kati ya Tax Season na Rapper kutoka katika Mji wa Philadelphia, Meek Mill aliyfeunguka kuhusu bifu lake na mastaa kama Drake, Wale, The Game, Beanie Sigel, Quentin Miller, and…
