Ubaguzi Familia ya Malkia Waibua Mazito Meghan, Harry
MEGHAN Markle na Prince Harry katika interview mpya na Oprah Winfrey wamesema hata kabla mtoto wao hajazaliwa baadhi ya wanafamilia ya kifalme nchini Uingereza walikuwa wakijadili rangi ya ngozi ya mtoto wao itakavyokuwa kama atakuwa…
