Mmiliki wa JamiiForums Ahukumiwa Jela au Faini Mil 3 – Video
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forum, Maxece Mello kulipa faini ya Sh.Mil 3 ama kwenda jela mwaka mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kulizuia Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake.…
