Musiba Akata Rufaa Hukumu ya Tsh. Bilioni 6 za Membe
MMILIKI wa vyombo vya habari vya Tanzanite, Cyprian Musiba, ameazimia kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam uliomtaka alipe fidia ya Sh bilioni 6 kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard…
