Menejimenti ya Shirika la Ndege Tanzania Yavunjwa
DAR ES SALAAM: Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeivunja Menejimenti ya Shirika hilo ili kukidhi vigezo na haja za Shirika hilo na malengo yaliyowekwa kwa miezi nane huku ikiamuru wakurugenzi wotena baadhi ya mameneja waondolewe…
