Mzungu ‘Mtata’ Aendelea Kusota Rumande (VIDEO)
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2017 imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, anayetuhumiwa kwa kosa la kumtishia mtu kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa kompyuta.
Upande wa…
