Meninah Matatani Kifo Cha Mumewe
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Menina Attick ‘Meninah’, ameingia kwenye mkasa na utata mzito baada ya kifo cha mumewe aliyetajwa kwa jina moja la Yona au Musa.
Kwa mujibu wa ndugu wa Musa, kijana wao alifariki dunia siku chache…
