NJIA MBILI ZA KUSAFISHA MENO YAKO YAWE MEUPE
LEO tutaona jinsi ya kusafisha meno kwani wengine wana ya rangi ya njano kutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyokunywa. Pia inategemea ni vipi unatunza afya yako ya meno, kama unapiga mswaki vizuri, unasafisha vizuri. Kama meno…
