Mercy Johnson arejesha shepu yake baada ya kujifungua
Nyota wa filamu Nigeria, Mercy Johnson.
NYOTA mcheza sinema wa Nigeria, Mercy Johnson amerejea katika shepu yake bomba baada ya kujifungua mtoto wa tatu. Amerejea umbo lake hilo murua bila ya kutumia mkanda wa kubanana kupunguza ukubwa wa…
