Mercy Johnson ni Mwathirika wa Ubaguzi wa Rangi Nollywood
NIGERIA: Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria (Nollywood), Mercy Johnson Okojie (32) ameanika namna ambavyo amekuwa akinyanyaswa naa baadhi ya waandaaji wa filamu nchini humo kutokana na kumnyima fursa ya kuigiza kwenye baadhi ya…
