PICHAZ: Mimi Mars Alivyokamua Uzinduzi wa Video Yake ya SHUGA
Hapa nakusogezea picha za Mimi Mars akiwa anaperform wimbo wake mpya na wa kwanza SHUGA pale Club Next Door iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Kutoka kwa Mars mwenyewe, tutegemee kuiona video na kuusikia wimbo wa SHUGA kwenye radio…
