Meridian Bet Yamshika Mkono Mama Anayeteseka na Mtoto
IKIWA ni siku chache baada ya kipindi cha GLOBALJAMII kinachoruka kupitia GLOBAL TV ONLINE kufanya kipindi na mama Zuhura Shabani (32) ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja aliyetelekezwa na mume wake baada ya mtoto…
