Mshambuliaji wa wa PSG Lionel Messi Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Fifa
Mshambuliaji wa Argentina na Paris St-Germainm, Lionel Messi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa wanaume kwenye Tuzo za Fifa za 2022.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 aliwashinda washambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe…
