Maxime: Mimi ndiye kiboko ya Simba
BAADA ya Kagera Sugar juzi Jumamosi kuifunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime amesema kuwa yeye ndiye kibako ya Simba.
Maxime amefikia hatua hiyo baada ya kufanikiwa kuiongoza Kagera Sugar…
