Sinema ya Kumuondoa Meya wa Dar, Hii Hapa
ILI kumuondoa madarakani Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita, awali ilielezwa kuwa, kura moja zaidi ya mjumbe wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar ilihitajika.
Ni kwamba kuna mvutano mkali wa suala la Umeya wa Jiji la Dar kati…
