Mfanyabiashara anasa pichaza mchumba’ke
Mfanyabiashara
NA Gabriel Ng’osha, Risasi Mchanganyiko
DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara wa bidhaa mchanganyiko (Machinga) aliyefahamika kwa jina la Khamis Kibiti amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kunasa picha chafu za mchumba wake…
