Mfanyakazi wa Ndani ‘Amliza’ Mbunge Vitu vya Milioni 85 Ikiwemo Bastola, Risasi 23
Dar es Salaam: Mfanyakazi wa ndani wa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Angella Kizigha, Miraji Mkanga (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam kwa madai ya kumwibia mwajiri wake vitu ikiwemo…
