Didier Gomes Apata Mbinu za Kuwamaliza Dodoma, Azam
KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, ametamba kwamba sasa wako tayari kwa ajili ya kutafuta matokeo mazuri kwenye mechi zao za viporo ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC na Dodoma Jiji.
Mfaransa huyo keshokutwa…
