Kisa Morrison, Yanga Yampa Mkataba Mgumu Fiston
UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa wamempa mkataba mshambuliaji wao mpya Mrundi Fiston Abbdulrazack wenye manufaa kwa pande zote mbili.
Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku chache tangu…
