JPM Azindua Mfugale Flyover ya Tazara Dar, Atema Cheche – Video
Barabara ya juu katika eneo la Tazara ambayo inazinduliwa leo na Rais Dkt.John Pombe Magufuli ujenzi wake umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 100.52 na umejengwa kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lao la msaada la…
