Jumla Ya Wagonjwa 32,136 Wahudumiwa Kwenye Kambi Ya Madaktari Bingwa Na Wabobezi Arusha
Kufuatia Kiliniki ya matibabu yaliyotolewa bure kwenye kambi ya Madaktari Bingwa na Mabingwa Wabobezi iliyofanyika kwa siku 7, kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha, jumla ya wagonjwa 32,136 sawa na wastani wa wagonjwa 4,598…
