Sangoma Auawa Akitaka Kumbaka Mgonjwa
SHINYANGA: Mganga wa kienyeji 'Sangoma' aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje (55), mkazi wa kijiji cha Singita kilichopo Kata ya Usanda wilayani Shinyanga ameuawa kwa kupigwa na wananchi ikielezwa alijaribu kutaka kumbaka mteja…
