Mgeja: Genge la Ndugai Lijitathmini, Mabango ya Ndugai Yaondolewe
KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amewapongeza Watanzania kuandika Historia ya pekee kumlinda Rais Samia Suluhu Hassan akibainisha kuwa nguvu ya umma ikiamua inaweza kukutoa hata kama utakuwa ni mbabe na mwenye…
