NEMC: MAJI YATOKAYO MGODINI YANA SUMU
JANUARI 10 mwaka huu wataalamu wa Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini (NEMC) lililopo chini ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, January Makamba wametoa taarifa mjini hapa kuwa maji…
