Mchungaji Mgogo Apata Ajali, Aonywa
BAADHI ya Watanzania wamemuomba Mchungaji wa Kanisa la Baptist Tanzania, Daniel Andendekyse Mgogo kutoendelea na hulka ya kuendesha gari mwenyewe hususani katika safari za mbali ili kuepuka ajali inayoweza kuhatarisha maisha yake…
