BREAKING NEWS: MGOMBEA WA UBUNGE CHADEMA ARUDISHA FOMU (Video)
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salum Mwalimu, leo Januari 20, 2017 amerudisha fomu za kuwania kinyang'anyiro hicho katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi, Manispaa ya Kinondoni…
