Wamiliki wa Vyombo Vya Usafiri Wasitisha Mgomo
UMOJA wa Wamiliki wa Vyombo Vya Usafiri (TABOA) wametangaza kusitisha mgomo wao uliyokuwa ukitarajia kuanza kesho Aprili4,2017.
Akitangaza uamuzi huo mbele ya wanahabari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa TABOA, Mustapha…
