The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

MGONJWA

Mage: Wananiita Maiti Inayotembea

SIKU zote kuna usemi usemao; ‘kabla hujafa hujaumbika!’ Ndivyo ilivyo kwa Mage Masalu (32), mkazi wa Magu jijini Mwanza. Maskini Mage; tumbo lake limevimba mno kutokana na maradhi ambayo mpaka sasa hayajajulikana kwa sababu…