Simba Yamzawadia Mgosi Ndinga Kali
UONGOZI wa Klabu ya Simba umemzawadia kocha mkuu wa timu ya wanawake ya klabu hiyo Mussa Hassan Mgosi kwa kuiongoza timu yake hiyo kutwaa ubingwa wa ligi ya wanawake kwa mara ya pili mfululizo.
Musa baada ya kupewa zawadi…
