Sasa Wakuu wa Wilaya Mguu Pande, Mguu Sawa
Na Mwandishi Wetu
UTEUZI unaotarajiwa kufanywa wakati wowote wiki hii wa wakuu wa wilaya kote nchini, unawaweka viongozi hao mguu pande, mguu sawa, kwa maana kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea.
Tokea aapishwe kuwa rais wa awamu ya…
