Abdallah Bulembo: Lazima Niiseme Serikali Yangu (VIDEO)
Mbunge wa Kuteuliwa, Mh, Abdallah Bulembo akichangia Bungeni jana Tarehe 22/05/2017 kuhusu makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo, na Uvuvi amesema hatoionea haya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akieleza kuwa…
