Wizara ya Afya Yanuia Kuongeza Kasi ya Matumizi ya Chanjo ya Uviko-19
WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu leo Juni 02, 2022 amezindua zoezi la kuongeza kasi ya matumizi ya chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar.
Waziri Ummy amesema kwa sasa dunia inapitia wimbi la nne la…
