Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 9
ILIPOISHIA
Kama vile hiyo haitoshi, nilimchukua ndege na kumuweka kwenye kopo na wote wakashuhudia nikilipondaponda lile kopo lakini nilipofunua kapu dogo lenye kuzibwa juu ili ndege asiruke alikutwa mle akiwa hai. Watu walipigwa na butwaa…
