Michael Fagan: Njemba aliyepenya kwa siri hadi chumbani kwa Malkia Elizabeth
Michael Fagan
Hebu vuta picha, jamaa anaruka ukuta wa Ikulu, anaingia ndani na kupenya mpaka chumbani anakolala mheshimiwa rais, bila kushtukiwa na mtu yeyote wala kamera. Ghafla, mheshimiwa anashtuka usingizini na kukuta kuna mtu amekaa…
